Mbuta Nanga ni balaa

Mbuta Nanga ni balaa

Heloo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
4,391
Reaction score
3,404
MBUTA Nanga ni a.k.a ya mwanadada FROLA LYIMO aishie UINGEREZA akiwa MTANZANIA.

Nimeshawishika kuandika mada hii kwa kujua fika nae ni mmoja wa member hapa pengineanaweza akasoma au kama kuna marafiki zake pia wamshauri jambo.

Ni jana tu ilipata wasaa wa kuangalia BLOG YAKE jamani hata kama ni BIASHARA DADA yangu that is too much...unakaa utupu kwa jili eti ya kutangaza nguo za ndani tu? au umeamua kutudhalilisha wanawake wenzako kwa kisingizio cha pesa? SIDHANI kama kweli iyo ndo sababu mananawajua mastaa wengi tu wanaotangaza biashara zao wakiwa wamevaa kawaida na bado wakafanikisha mawazo yao.

NIMEAMUA kutumia Jf ILI iwe ahisi hata kwa wengie kumshauri maa hata ningesema nimshaui kupitia BLOG YAKE kwa jinsi NILIVYOMSOMA huenda ana tatizo kubwa....sasa hapa tuna madaktai washaui mabalimbali wanaweza wakamshauri a tatizo ni kudhalilishana mitandaoni kwa kutumia JINA mtanzania....hata kama ni biashara imezidi..yaani ni zaidi ya mtu aliyepata UCHIZI.

Punguza au vaa kawaida na bado utauza na tena utapata wateja wa aina zote.
 
Utamaduni wa Kiafrika na ule wa Kiingereza ni tamaduni mbili tofauti. Watu wengi wenye upeo mdogo wa fikra hudhani uzungu ndio kipimo cha ustaarabu.

Naona huyu dada angerejea kwenye mila na utamaduni wa wazazi wake, kama sio wa Kiafrika ili kulinda hadhi na heshima ya Kitanzania na wazazi wake. Afanye afanyavyo, bado atabaki kuwa Muafrika na Mtanzania; huko Uingereza atabaki kuwa wa kuja tu. Mwisho wa siku marejeo ni hapa, aidha kwa kupenda au kutokupenda. Haya ni maisha, na hii ni dunia; kila jambo lina mwisho.

Akumbuke, mchuma janga hula na wa kwao!
 
MBUTA Nanga ni a.k.a ya mwanadada FROLA LYIMO aishie UINGEREZA akiwa MTANZANIA.
Nimeshawishika kuandika mada hii kwa kujua fika nae ni mmoja wa member hapa pengineanaweza akasoma au kama kuna marafiki zake pia wamshauri jambo.
Ni jana tu ilipata wasaa wa kuangalia BLOG YAKE jamani hata kama ni BIASHARA DADA yangu that is too much...unakaa utupu kwa jili eti ya kutangaza nguo za ndani tu? au umeamua kutudhalilisha wanawake wenzako kwa kisingizio cha pesa? SIDHANI kama kweli iyo ndo sababu mananawajua mastaa wengi tu wanaotangaza biashara zao wakiwa wamevaa kawaida na bado wakafanikisha mawazo yao.
NIMEAMUA kutumia Jf ILI iwe ahisi hata kwa wengie kumshauri maa hata ningesema nimshaui kupitia BLOG YAKE kwa jinsi NILIVYOMSOMA huenda ana tatizo kubwa....sasa hapa tuna madaktai washaui mabalimbali wanaweza wakamshauri a tatizo ni kudhalilishana mitandaoni kwa kutumia JINA mtanzania....hata kama ni biashara imezidi..yaani ni zaidi ya mtu aliyepata UCHIZI.
Punguza au vaa kawaida na bado utauza na tena utapata wateja way aina zote.

Tuwekee iyo link tuone uo uvaaji
 
Mh majanga bin majanga vitu vingine hapana aanze kuvua zote kabisa
 
Huyu dada ni wagonjwa kabisa labda akamatwe na kutibiwa kwa nguvu!

Ushauri wa maneno ni kupoteza muda.
 
Wee ana 40?
Huyu dada anaonekana ana matatizo ya kisaikolojia na pengine marafiki zake ambao wamekuwa wakimshabikia huo ujinga wake wameendelea kukuza tatizo lake.

Yeye sio wa kwanza kufanya biashara,wangapi wameuza bila kuonyesha vichupi na kujidhalilisha? Kama maisha ughaibuni yamekuwa magumu akubali ukweli,arudi nyumbani.Tz ya leo sio ya 1990,fursa kibao

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Afu et ndiyo albakwa na lema!! Me nahs aljbajisha km ndy ivo jaman... Nenden leo kwenye accaunt yake ya instagram mchek alchopost
 
Back
Top Bottom