Mbuyu umeanguka: Ahmad Ahmad ashinda urais CAF, Issa Hayatou kwaheri mzee

Bora huyu jamaa kaangushwa. Tangu nipo shule ya msingi yupo, nikaenda sekondari, yupo nahitimu chuo bado yupo na sasa bado tena anataka kuwa yupo! By makongoro nyerere.
 
Great news naona utawala wa Blatter waondoka kwenye mashirikisho ya soka ya mabara mbali mbali tutarajie Giano naye kuweka watu wake bravo to Ahmed
 
Safi sana CAF ila sio ile ya visiwani inayoongozwa na Lipumba.

Bado kaiz imebaki kwa wale jamaa zetu wa pale Karume ambao jana
walipigwa pini wasiingie wala kutoka ndani ya yard yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…