CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Kk unafugia wapi?
Wanazaa kama wengine tu taofauti ni mauomna yao ni makubwaUzao wake ukoje pamoja na bei
Mikia huwa hawana kiasili au inakatwa..na kama inakatwa kwa sababu gani?Black HeadView attachment 2320489
Ndio hawa ambao huzaa mapacha?
Vp ufugaji wake upoje mzee
Mkuu inapatikana wapi? Nahitaji mbegu
Vp ufugaji wake upoje mzee