Mbuzi avamia mabango ya Aziz Abood na kuyatafuna

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
Katika tukio linalofananishwa na lililotokea jijini Dar es Salaam katika jimbo la kawe, kuna mbuzi ameonekana akiharibu mabango ya mgombea wa ubunge wa jimbo la Morogoro Mjini Mh. Abdul-Aziz Abood.

 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 gari bovu akisikia ivo atawachinja wote
 
Msifanye kitu cha ajabu kwa wafugaji ni kawaida kabisa kuona mifugo ikila makaratasi mbona hata ng'ombe hula mpk magazeti!.. bongo tatizo mnakuza vitu vidogo viwe vikubwa.
 
Hilo litakuwa "BEBERU" sio mbuzi
 
Au material yaliyotumika ni kama yanawavutia mbuzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…