Mbuzi kafia kwa muuza supu muda huu huu

Ambacho hujatambua ni kuwa. Uyo muuza vitumbua anabiashara mbili. Kitumbua chakula na kitumbua mwili. Uyo ni tabia yake anauza kwa stail ya kipekee. Angalia isijekuwa wewe ndye mbuzi aliyefia kwa muuza supu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji122]
 
Kama umakula demu wa 3700 na 5000 nina wasiwasi na afya yako ya akili.
 
Basi unajikuta MJANJA mwenyewe, yaani unaona umewin hapo. Si ndiyo eenhe?
 
Ule wako....kama hujatumia ile naniliuu.....
Make hata kwa wengine ni hivyohivyo!!
 
Usitake tuamini wasukuma wote ni washamba kama wewe
 
Mimi ningeomba unipe japo Utumbo, hiko ndicho kitu ninacho penda zaidi kwa Mbuzi....!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Story nyingi hapa JF ni za kutunga , umehitimu toka mpenzi wa bosi na sasa unakula vitumbua vyote cha muuza na chake mwenyewe..
 
Ambacho hujatambua ni kuwa. Uyo muuza vitumbua anabiashara mbili. Kitumbua chakula na kitumbua mwili. Uyo ni tabia yake anauza kwa stail ya kipekee. Angalia isijekuwa wewe ndye mbuzi aliyefia kwa muuza supu.

Ambacho hujatambua ni kuwa. Uyo muuza vitumbua anabiashara mbili. Kitumbua chakula na kitumbua mwili. Uyo ni tabia yake anauza kwa stail ya kipekee. Angalia isijekuwa wewe ndye mbuzi aliyefia kwa muuza supu.
 
Kumuchuna,nimemula,....[emoji23][emoji23]
 
Muuza Supu ninayemjua hapiki supu ya mbuzi waliokufa kibudu. Naona muuza supu unayemzungumzia ni yule ambaye alishasuswa siku nyingi anyway pole sana. kuna mbuzi wengine wanakufaga huko baa mida ya kufunga mwambie aende akaongeze mtaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…