Mbuzi kafia kwa muuza supu muda huu huu

Sipati jibu mara nyingi huwa unatafakari nini
 
Kwa hiyo mkuu ulikula kavu kavu?

Nyege nyingine ni hatare kwa afya yako
 
mara muuza vitumbua.. mara mbuzi,,mara supuu!!..mara umemuchunaa!!

daah sijaelewa kabisa ngoja niwaachie uzi wenu
 
Mimi ningeomba unipe japo Utumbo, hiko ndicho kitu ninacho penda zaidi kwa Mbuzi....!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kumuchuna
kumuchemusha
Nimemula
Nimemubembeleza




Rekebisha ayo maneno kwanza
 
Ambacho hujatambua ni kuwa. Uyo muuza vitumbua anabiashara mbili. Kitumbua chakula na kitumbua mwili. Uyo ni tabia yake anauza kwa stail ya kipekee. Angalia isijekuwa wewe ndye mbuzi aliyefia kwa muuza supu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…