Mbuzi kunyweshwa tena soda

Mbuzi kunyweshwa tena soda

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Yeeeerrrrreeeeh!

Soko la korosho duniani limechanganya balaa. Na hapa nchini bei imepanda kwa hadi 4k huko.

Sasa yale yele ya mbuzi kunyweshwa soda kipindi kile soko lilipochanganya baada ya wakulima na wafanyabiashara kupiga hela ndefu na kukosa pa kuzoeleka na kuanza kukufuru kwa kuwanywesha mbusii soda yanajirudia.

Madem nao sasa hivi wanahamia lindi na mtwara kwa wingi kuzuia hizi fursa za mbuzi za kunyweshwa soda.

Nyau de adriz
 
Back
Top Bottom