Kondoo ndiyo huwa naona wanaoatikana kwenye baadhi ya supermarket tena ni imported!Tunaweza kuweka utumbo wa barafu pia.
Mama yangu mlezi amini , huo mradi ni mzuri na utatoboa tuliza akili kisha anza hata na mbuzi wawili .View attachment 1978107
Mbuzi ni mnyama anae lika sana Tanzania, kwa sherehe za kifamilia au hata social gatherings mfano birthdays, kutoa mahari, ubatizo nk. Pamoja na hayo mbuzi choma ni kitafunwa pendwa kwa wanaokunywa pombe na wasiokunywa pia.
Wengi tunanunua mbuzi na kumtafuta mchinjaji. Anachinjwa mbuzi saa 11 alfajiri na saa mbili watu wakunywa supu ya utumbo.
Kuwa na machinjio ya mbuzi kwaajili ya kuuza walioganda. Wateja watapatikana kweli? Hapa tunaongelea mbuzi alietolewa utumbo, kichwa na miguu.
Kwa wale wanaotaka sehemu tu mguu pia unaweza kupatikana.
Hapo ni ngumu kidogo,sababu nyie wachaga mnaweza kutuuzia hata frozen dogView attachment 1978107