Mbuzi wa Kipanya amekata kamba kwahiyo anakula bila kipimo

Mbuzi wa Kipanya amekata kamba kwahiyo anakula bila kipimo

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nimeiona mahali katuni ya mbuzi wa Kipanya aliyekata kamba na kwahiyo anakula bila kuzingatia urefu wa kamba, nimecheka sana.

Ngoja niitafute nitupie mjionee wenyewe.

Maendeleo hayana vyama!

Mbuzi.jpg
 
Na ufanye haraka kuileta hiyo picha ya mbuzi aliyekata kamba, huyo mbuzi hana tai ya bendera kweli? Au atakuwa na kipara
 
Back
Top Bottom