Mbwa Anayetafutwa Na Lugola , Ninja huyu hapa kapatikana Akipelekwa Iringa

Mbwa Anayetafutwa Na Lugola , Ninja huyu hapa kapatikana Akipelekwa Iringa

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Wakuu.
Ninja ashtuliwe mapema maana binti wa kihehe kutoka ifunda ameonekana akimpeleka kwao hivyo ili mambo yaishe binti azuiwe mapema.
FB_IMG_1532414176799.jpg
FB_IMG_1532414174580.jpg
 
Yule mbwa alivyosemwa hata kama ni kumla nyama yake haitolika kbsaa.
 
Mimi nipo Iringa, wangetaja sifa za huyo Mbwa anayetafutwa ili tukikuta hata masikio kwa Mama lishe tutoe ushirikiano.
 
Back
Top Bottom