Mbwa Germany Sherpherd

Parachichi

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2008
Posts
510
Reaction score
102
Wakuu poleni na shughuli,

Aisee ninao mbwa wawili GSP Pure!ni ndugu yanh wamezaliwa tumbo moja,kuna wataalamu wa mbwa wamenijuza kwamba mbwa wakiwa ndugu huwa hawawezi kuzaa na iwapo wakizaa basi hao watoto huwa hawawezi kuishi. Nilikua nahitaji mbwa kwa ajili ya kubadilisha kama kuna mtu mwenye nao anapenda kubadilishana.Mbwa kwa sasa wana miezi minne.

Nawasilisha
 
Tafuta dume local uchanganye watakuwa na immunity nzuri. Huwa wanaonewa sana na ugonjwa pav-kuhara na kutapika damu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…