Mbwa Kubweka Dirishan Kila Siku Usiku.

Kweli wee kiazi mbatata mnuse maamako kisha jinuse utapata jibu

Kila nnapokubamba uongo wako, povu na matusi linakutoka bila pazia.

Utatukana sana.

Mie wa oud wa mawardi, mama'ko anaujuwa?
 
Huna hadhi hata chembe la kujibiwa kistaarabu, toka kwenye kinyago cha faiza uje kama wewe! Huo ndio ujasiri
 
Mimi ndiyo mimi, huo ustaarabu uutoe wapi? Unajuwa maana usta-arab?

Punguani wahed.
 
Kila nikizima taa na kuingia bed! Kuna mbwa wa jiran anakuja kweny dirisha langu na kubweka kwa kuunguruma!! Nikitoka nje sion kitu na pazia nimepandisha upand! Wakongwe nin maana ya Hii Mambo?
Huyo mbwa atakuwa mchimbaji mdogo mdogo kama ww so cha kufanya akija dirishani mrushie hiyo chumvi alafu utuletee mrejesho kama amelia tena[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi ndiyo mimi, huo ustaarabu uutoe wapi? Unajuwa maana usta-arab?

Punguani wahed.
Mbwa hutupiwa chakula hawekewi mezani tena kama ni mbwa koko hula jalalani, kwangu wewe ni mbwa koko
 
Utatukana, utabwabwaja na kuhororoja sana lakini siku nyingi nilikwambia, utapodaganya na nikipaona utaipata habari yako - kumbuka hilo.
 
Utabaki kuwa mbwa koko kiboko yako mchonga that's the naked truth na kila uamkapo usisahau kuwa kwangu wewe ni mbwa koko mgonjwa
Toka kwenye kinyago cha FaizaFoxy if real you have such guts...for sure you can't do this because you are a silly coward
 
Mbona hilo si jipya, ni la kila siku. Tafuta jipya.

Nimekuuliza swali mbona umeshindwa kulijibu badala yake unakuja na povu linakutoka na matusi gunia zima, vipi? Imekuingia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…