Ok Mkuu. Wacha nifanye hivyo. Asante.Weka bei hadharani mkuu
600K Mkuu.Milion ngapi?
Hapana Mkuu, Mbwa ni vile unakaa nae. Hata umchukue awe mubwa unaweza kumfanya vile unataka awe.Mkuu huyo mbona mkubwa""" wadogo ndo wazuri
Hapana Mkuu, Mbwa ni vile unakaa nae. Hata umchukue awe mubwa unaweza kumfanya vile unataka awe.
Lakini ninao wadogo pia, puppies.
Nahitaji puppy jike. Ntapata? Bei gani?Habari wadau,
Mbwa kwa jili ya ulinzi anauzwa
TYPE :German Shepherd
GENDER : MALE
AGE : 1 YEAR
LOCATION : DAR ES SALAAM
PRICE : 600K
Very active with shining coats.
Interested, please inbox or whatsap 0783883330 kwa maelezo zaidi.
Asante
Utapata Mkuu, kwa 400kNahitaji puppy jike. Ntapata? Bei gani?
Huyu ni dume but ameishatoka.Wadogo bei gani? Dume au jike?