Mbwa Mbegu nzuri ya kufuga

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,072
Reaction score
2,384
Nahitaji kufuga mbwa. Naombeni kama kuna mdau anaweza ni bless na mbwa nitashukuru sana. Zisiwe zile mbegu za mbwa wa kizaramo... Vile vyembamba vinatanga na njia wakati wote.

Hapana. Pamoja na kuwa ninaomba lakini pia haimaanishi nitachukua mbwa ambaye najua sitakuwa na furaha naye. Wale wafugaji wanajua mbwa wazuri wanakuaje. So please tusaidiane katika hilo nami nitawaombea baraka.

Mtapata hata mbolea ya minjingu.
 
Ungesema Mbwa unaemtaka unamtaka kwa mahitaji yapi ya ulinzi au mapambo, na huyo Mbwa unamtaka aidha awe bbl,gsd, rott, den, na wengineo unawaomba bure ama kununuwa? maana kumtunza mpaka aje kuzaa wewe upatiwe puppy sio kazi ndogo ndugu yangu. Hebu fafanuwa vyema ili watu tujue hitaji lako limesiamamje tuweze kukusaidia. Mbwa wana gharama na nilazima uzikubali ili upate kilicho bora.
 
Hao wazaramo unawafuga kwa kanuni gani?
 
Nataka wa ulinzi. Of course nitatoa asante kwa mfugaji siyo kuniuzia bei za kitalii. Siwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…