Huyu dogi kapoteza kabsaa wajibu wake wa asili kwa kujihusisha na usanii wa dansi kwa lengo la kumwongezea kipato bwana wake na mwenyewe kuish maisha mazuri katika jamii!!!!
.....Huyu mbwa kaniacha hoi, anavyocheza huo mziki lol.......nafuu siku nimeanza vizuri kwa kicheko maana mbwa anayarudi si mchezo,huyu mbwa atanifanya niwe nacheka hapa ibada ikianza.........lol