Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Miss Ellie akiwa katika pozi baada ya kupata tuzo ya Mbwa mwenye sura mbaya zaidi duniani
MISS ELLIE, mbwa mdogo wa Kichina mwenye manyoya kiasi na mwenye kupendelea kutoa ulimi wake mrefu ambaye alishinda mpambano wa Sayari ya Wanyama katika kutafuta Mbwa mwenye sura mbaya zaidi, amefariki akiwa na umri wa miaka 17 huko Tennessee, Marekani.Ellie ambaye alikuwa akitumiwa katika maonyesho mbalimbali alikuwa pia akitumika katika matangazo mbalimbali ambapo kwa kipindi cha miaka mingi, alisaidia katika kupatikana kwa zaidi ya dola 100,000 kwa ajili ya misaada ya kibinadamu.Maiti ya mbwa huyo itachomwa moto.
