Mbwa na Paka.

Kirikou Wa Kwanza

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2013
Posts
3,564
Reaction score
1,991
Mbwa na Paka walikuwa wanasafiri
kwenye gari kwenda Iringa. Wakati safari ikiendelea Paka
akamwambia Mbwa, "Binadamu ana
dharau sana, wanyama wote anaowafuga
anawala kasoro sisi tu." Mbwa akamuangalia halafu akamjibu, "Maneno hayo
ongea huku huku, tukifika Iringa funga mdomo wako
nyamaza kimya utakuja kuniponza
mjinga wee".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…