Mbwa ni biashara inayolipa sana kuliko kukuKama kichwa Cha habari, nimefuga kuku (KROILER)kwa ajili ya biashara Ni mwaka Sasa lakini bado faida siioni na changamoto hasa magonjwa Ni kubwa sana.
Hi niliplan iwe project A na nilikuwa pia nawaza kuwa na project B. ninacho waza Ni kufuga mbwa kwa ajili ya biashara na nimefanikiwa kuwa na mbwa watatu( puppies) Aina ya RABLADOR. Nitajikita na RABLADOR pamoja na G.s ( nitanunua wawili) ili jumla wawe watano
-Je changamoto kubwa Ni Nini kwa mbwa?
- Soko lake likoje?
Mawazo na ushauri wenu mhimu SanaView attachment 1111685View attachment 1111686
Hahahahaaaaaaaa.......Inategemeana na mkoa kama iringa mbwa wanalipa,
Inategemeana na mkoa kama iringa mbwa wanalipa,
kivipi chief?Mbwa ni biashara inayolipa sana kuliko kuku
Nilimwelewa Mimi mbwa wanafaida na changamoto si nyingi Kama kwenye kuku,binafsi nimelazilisha mbwa pure RABLADOR na vingine Koko ( jike mojawapo lilikwa Koko) vya Koko nimeuza 20000 kwa Kila kimoja,na vilizaliwa 7, lakini Hawa pure nimeambiwa nisiuze chini ya 400000 kwa kimoja.kivipi chief?
vipi kuhusu soko na gharama za matunzo?Nilimwelewa Mimi mbwa wanafaida na changamoto si nyingi Kama kwenye kuku,binafsi nimelazilisha mbwa pure RABLADOR na vingine Koko ( jike mojawapo lilikwa Koko) vya Koko nimeuza 20000 kwa Kila kimoja,na vilizaliwa 7, lakini Hawa pure nimeambiwa nisiuze chini ya 400000 kwa kimoja.
Kwangu galama za matunzo Ni chakula Mara kwa siku, mbwa watano kilo 2.5 za unga lishe,ila soko ndio sijajua kwa sababu nilikuwa nafuga kwa ajili ya ulinzi tu,nataka nami nipate mchanuo wa soko ili nijikite kwenye mbwa.vipi kuhusu soko na gharama za matunzo?
chakula, dawa na maradhi?Kwangu galama za matunzo Ni chakula Mara kwa siku, mbwa watano kilo 2.5 za unga lishe,ila soko ndio sijajua kwa sababu nilikuwa nafuga kwa ajili ya ulinzi tu,nataka nami nipate mchanuo wa soko ili nijikite kwenye mbwa.
Inategemea ulipo Mkuu, kama upo iringa mbwa wanalipa zaidi. Kama uko mikoa mingine basi Kuku wanalipa zaidiKama kichwa Cha habari, nimefuga kuku (KROILER)kwa ajili ya biashara Ni mwaka Sasa lakini bado faida siioni na changamoto hasa magonjwa Ni kubwa sana.
Hi niliplan iwe project A na nilikuwa pia nawaza kuwa na project B. ninacho waza Ni kufuga mbwa kwa ajili ya biashara na nimefanikiwa kuwa na mbwa watatu( puppies) Aina ya RABLADOR. Nitajikita na RABLADOR pamoja na G.s ( nitanunua wawili) ili jumla wawe watano
-Je changamoto kubwa Ni Nini kwa mbwa?
- Soko lake likoje?
Mawazo na ushauri wenu mhimu SanaView attachment 1111685View attachment 1111686
Bila shaka viroba vilipigwa marufukuInategemeana na mkoa kama iringa mbwa wanalipa,