Mbwa wa mtaani wamekuwa kero katika ufugaji wangu. Nitumie mbinu gani kuwadhibiti?

relis

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Posts
3,336
Reaction score
5,217
Habari!

Msaada tutani. Kwenye makazi ninayoishi huku mtaani nina changamoto ya mbwa kula mayai ndani ya banda naamini kama wafugaji wenzangu mmepitia changamoto hii je mliitatuaje ushauri utakaonipenda ni kuua hicho kiumbe.

Je, nitumie dawa Gani au mbinu gani?
 
Kuku wangu wanazurura mkuu muda wa kutaga huingia ndani hivyo kuziba ili mbwa asipite ni changamoto Kwa kuku
 
Kuna wawili walikua wanazagaa hapa mtaani nikaamua kuwachapa risasi for security of my kids.
Hakuna lakufanya zaidi ya kuwaua tu mkuu.
 
Habari!

Msaada tutani. Kwenye makazi ninayoishi huku mtaani nina changamoto ya mbwa kula mayai ndani ya banda naamini kama wafugaji wenzangu mmepitia changamoto hii je mliitatuaje ushauri utakaonipenda ni kuua hicho kiumbe.

Je, nitumie dawa Gani au mbinu gani?
Tengeneza banda la uhakika!
 
Habari!

Msaada tutani. Kwenye makazi ninayoishi huku mtaani nina changamoto ya mbwa kula mayai ndani ya banda naamini kama wafugaji wenzangu mmepitia changamoto hii je mliitatuaje ushauri utakaonipenda ni kuua hicho kiumbe.

Je, nitumie dawa Gani au mbinu gani?
Pole sana ndugu kwa hiyo changamoto hata mimi ilinipata wakati naanza ufugaji wa Mbuzi lakini nilijitahidi kuanzia kwa mjumbe, serekali ya mtaa , kata, wilayani wakaja kutusaidia kuwa ondoa hao Mbwa kwa kuwapiga risasi kwakua walikuwa hawana mwenye nao na ilitangazwa kwa siku 7 mtaani.
 
Mbwa wa mtaani ni wabaya sana hao,kama unaweza unapiga tu panga basi hakuna mtu atakuja kukudai kwamba umepiga mbwa wake
 
Habari!

Msaada tutani. Kwenye makazi ninayoishi huku mtaani nina changamoto ya mbwa kula mayai ndani ya banda naamini kama wafugaji wenzangu mmepitia changamoto hii je mliitatuaje ushauri utakaonipenda ni kuua hicho kiumbe.

Je, nitumie dawa Gani au mbinu gani?
Piga shaba mbwa hao mkuu
 
Tengeneza urafiki nao, siku Chache tu wanakuzoea, na kubweteka kuanzia kulalalala hapo mazingira uliopo, kisha usipoteze muda ua.

Ukishindwa, option ya mwsho ni kuajiri Mhehe baaas shughuli imeisha
Daaah mkuu amuajiri nani aiseee 😃😂😁😀😊 nimechekaaaa kwa nguvu
 
Daaah nakumbuka wakati Fulani nilivaa safety boot nikatoka na surulu kwenda bandani nikafunga mlango aisee niliwachakaza mbwa wote wawili bila huruma. Yaan wanaudhi sana
 
Ukiwa mfugaji wa kuku unatakiwa kuzungushia uzio.hata kama ni kijijini angalau wanaotaga wanatakiwa watengenezewe mazingira ambayo vihatarishi haviwezi kufika kiurahis
 
Ni kweli, huku kwetu kuna mbwa-watu mkuu yani waizi wa kuku ni wengi sana mkuu

yaani hakuna wezi ila kuna waizi wa kutosha mwanangu

Ukiwa mfugaji wa kuku unatakiwa kuzungushia uzio.hata kama ni kijijini angalau wanaotaga wanatakiwa watengenezewe mazingira ambayo vihatarishi haviwezi kufika kiurahis
 
Kwenye eneo langu niliwahamisha mbwa kwa manati.. Walifanya ndio makazi yao.. Kilichonishangaza ni kunibwekea nikirudi usiku.. Halafu nikaja kuibiwa kuku na wao wapo.. Kesho yake nikanunua manati.. Wiki moja tu walihama...
 
Pole sana ndugu kwa hiyo changamoto hata mimi ilinipata wakati naanza ufugaji wa Mbuzi lakini nilijitahidi kuanzia kwa mjumbe, serekali ya mtaa , kata, wilayani wakaja kutusaidia kuwa ondoa hao Mbwa kwa kuwapiga risasi kwakua walikuwa hawana mwenye nao na ilitangazwa kwa siku 7 mtaani.
Bora huko walikuja, mitaa ya kwangu mamlaka za serikali zimegoma kuua mbwa wa mtaani, wanadai ni kinyume na haki za wanyama.
Kuna jeshi la mbwa koko mtaani; wanapita na kuku, mbuzi, ndama wadogo, n.k. Ni shida!
Wakitegwa kwa sumu hawali, na mchana hawaonekani. Na usiku wanatembea kikosi, wakihisi wanawindwa wanatawanyika kwa mbio.
 
Hao viongozi wana waoneeni nendeni kwa mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya kuna kitengo cha mifugo mtapata usaidizi wa hilo tatizo, ni kweli wana uzito flani ila wata waelewa tu huwa wana utaratibu wa kuja kutangaza
 
Back
Top Bottom