Tengeneza banda la uhakika!Habari!
Msaada tutani. Kwenye makazi ninayoishi huku mtaani nina changamoto ya mbwa kula mayai ndani ya banda naamini kama wafugaji wenzangu mmepitia changamoto hii je mliitatuaje ushauri utakaonipenda ni kuua hicho kiumbe.
Je, nitumie dawa Gani au mbinu gani?
Pole sana ndugu kwa hiyo changamoto hata mimi ilinipata wakati naanza ufugaji wa Mbuzi lakini nilijitahidi kuanzia kwa mjumbe, serekali ya mtaa , kata, wilayani wakaja kutusaidia kuwa ondoa hao Mbwa kwa kuwapiga risasi kwakua walikuwa hawana mwenye nao na ilitangazwa kwa siku 7 mtaani.Habari!
Msaada tutani. Kwenye makazi ninayoishi huku mtaani nina changamoto ya mbwa kula mayai ndani ya banda naamini kama wafugaji wenzangu mmepitia changamoto hii je mliitatuaje ushauri utakaonipenda ni kuua hicho kiumbe.
Je, nitumie dawa Gani au mbinu gani?
Piga shaba mbwa hao mkuuHabari!
Msaada tutani. Kwenye makazi ninayoishi huku mtaani nina changamoto ya mbwa kula mayai ndani ya banda naamini kama wafugaji wenzangu mmepitia changamoto hii je mliitatuaje ushauri utakaonipenda ni kuua hicho kiumbe.
Je, nitumie dawa Gani au mbinu gani?
Daaah mkuu amuajiri nani aiseee 😃😂😁😀😊 nimechekaaaa kwa nguvuTengeneza urafiki nao, siku Chache tu wanakuzoea, na kubweteka kuanzia kulalalala hapo mazingira uliopo, kisha usipoteze muda ua.
Ukishindwa, option ya mwsho ni kuajiri Mhehe baaas shughuli imeisha
Ukiwa mfugaji wa kuku unatakiwa kuzungushia uzio.hata kama ni kijijini angalau wanaotaga wanatakiwa watengenezewe mazingira ambayo vihatarishi haviwezi kufika kiurahis
Bora huko walikuja, mitaa ya kwangu mamlaka za serikali zimegoma kuua mbwa wa mtaani, wanadai ni kinyume na haki za wanyama.Pole sana ndugu kwa hiyo changamoto hata mimi ilinipata wakati naanza ufugaji wa Mbuzi lakini nilijitahidi kuanzia kwa mjumbe, serekali ya mtaa , kata, wilayani wakaja kutusaidia kuwa ondoa hao Mbwa kwa kuwapiga risasi kwakua walikuwa hawana mwenye nao na ilitangazwa kwa siku 7 mtaani.
Hao viongozi wana waoneeni nendeni kwa mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya kuna kitengo cha mifugo mtapata usaidizi wa hilo tatizo, ni kweli wana uzito flani ila wata waelewa tu huwa wana utaratibu wa kuja kutangazaBora huko walikuja, mitaa ya kwangu mamlaka za serikali zimegoma kuua mbwa wa mtaani, wanadai ni kinyume na haki za wanyama.
Kuna jeshi la mbwa koko mtaani; wanapita na kuku, mbuzi, ndama wadogo, n.k. Ni shida!
Wakitegwa kwa sumu hawali, na mchana hawaonekani. Na usiku wanatembea kikosi, wakihisi wanawindwa wanatawanyika kwa mbio.