Ukimpa maelekezo fulani plus kumtambulisha Wageni then haumi,akiona mtu asiemjua huwa anaanza kubweka na kumzuia huyo mtu let say anataka kuingia ndani basi atamfuata alipo na kuanza kubweka huku kaziba njia,kadri mtu anavyozidi kusogea ndio huongeza ukali na endapo huyo mtu mgeni atalazisha kupita au kuchukua kitu then anaweza kung'atwa!! Atapunguza ukali baada ya mwenyeji kutokea ila hatoacha kubwaka mpaka akatazwe na mwenyeji wake
Kwi kwi kwi:llama:Hama nae.......au hana uzoefu wa kupanda magari.......?
anabweka au habweki?
Mkuu Preta anatoka lile jiji linaloongoza kuwa na mabilionea Tz ambao wanaongoza kufa,Arusha!!!!
Sasa huyu ni wangu nikiwa nae katika viunga vya mitaa ya Yaeda......nilitoka nae Mongolia..........
View attachment 137943
kaka njoo nae basi nitamchukua moro mi nahishi moro...........Ah me nahamia Matombo-Morogoro!!