Mbwa wa Polisi kutumika dhidi ya CHADEMA limetuvunjia heshima Watanzania

Mbwa wa Polisi kutumika dhidi ya CHADEMA limetuvunjia heshima Watanzania

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
34,188
Reaction score
62,952
Nimesikitishwa na kitendo cha Polisi kutumia mbwa dhidi ya Chadema.

Kwa sisi wenye umri mkubwa kidogo tunakumbuka picha za Polisi wa makaburu wa Afrika Kusini.



1628613352438.png

 
Sad, ipo mifano mingi ulinganifu serikali Makaburi SA na Serikali ya CCM
Kubambika kesi
Wafungwa wa kisiasa
Udanganyifu chaguzi
Upendeleo miradi ya maendeleo
....
 
Sad, ipo mifano mingi ulinganifu serikali Makaburi SA na Serikali ya CCM
Kubambika kesi
Wafungwa wa kisiasa
Udanganyifu chaguzi
Upendeleo miradi ya maendeleo
....

..Ni jambo baya na la aibu Polisi kutumia mbwa dhidi ya chadema.

..mbwa walitumika dhidi ya weusi na utawala dhalimu wa makaburu, na serikali za kibaguzi za majimbo ya kusini mwa marekani.
 
Duh, Madam President wa kisiwa cha amani Samia Suluhu Hassan wa Tanzania kweli ana hamu sana ya kuacha legacy yake na kwa sababu hiyo akakaaa, akafikiria na kuamua njia gani ampiku mwendakuzimu, John Pombe "JPM" Magufuli.

Basi akachagua ile njia ya makaburu wa Afrika Kusini wakati wa kesi iliyojulikana kama Rivonia Trial aliyofunguliwa Nelson Mandela mwaka 1963 akituhumiwa kwa ugaidi chini ya utawala wa kaburu Balthazar Johannes "B. J." Vorster.

Baada ya hukumu kichwa cha habari kwenye magazeti duniani kilikuwa ni kama hii...

mandela2.png
Mandela.png

 
Back
Top Bottom