Mbwa wangu habweki na miguu inakosa nguvu, ni nini tatizo?

Huyo mbwa anapiga punyeto kila dakika nguvu aitoe wapi?
 
Wadau maombeni ushauri Mbwa wangu GS dume habweki na miguu inakosa nguvu
Wenye ujuzi nisaidieni
Outline: Degenerative myelopathy is a progressive, incurable, disease of the nerves of the spinal cord which causes gradual loss of mobility and loss of feeling in the limbs. Affected dogs become paralysed first in the hind limbs and then in the forelimbs.

Ugonjwa unaoendelea, usiotibika, wa mishipa ya uti wa mgongo ambayo husababisha upotezaji wa polepole wa uhamaji na upotevu wa hisia katika viungo. Mbwa walioathiriwa hupooza kwanza kwenye viungo vya nyuma na kisha kwenye mikono ya mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So hamna cure? Mwisho wake ni kifo ama anaweza kumuokoa kinamna gani
 
Kwa kifupi huwezi ukatoa tentative diagnosis kupitia hizo taarifa pekee bila kumuona mbwa mwenyewe& kufanya thoroughly c.examination.
Hapo inabidi aite daktari amuangalie huyo mbwa kwa ukarib zaid na anaweza link,otherwise more further informations are required
 
Unampa nyama kama chakula kikuu, hili ni kosa, nilipata elimu hii kwa mtaalam nane nane, mpe dagaa nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…