Mbwa wangu wanataka kuanza tabia chafu ya kisodoma

soon atachezea panga
Amna usifanye ivo ...wapigishe hata pull[emoji23] [emoji23] [emoji23] bila sivyo watabanduana au wapelekee majike ......ukipiga panga zambiii ungekuwa unakaa nchi zilizoendelea unafunguliwa kesii
 
Deo kisandu alisema kweli fb achana na nyege kabisa hahhaaaaaaa kaka pole wakimalizana wao kwa wao jiandae
 
Amna usifanye ivo ...wapigishe hata pull[emoji23] [emoji23] [emoji23] bila sivyo watabanduana au wapelekee majike ......ukipiga panga zambiii ungekuwa unakaa nchi zilizoendelea unafunguliwa kesii
majike watanogewa kbsa watasahau kazi yao mkuu
 
mbwa mngese atakamataje mwizi, akioneshwa ubao anatulia wezi wanafanya yao? huko kwenu, hamruhusiwi kumiliki silaha? piga za vichwa
 
hujui kuwa hiki ni kipindi cha mbwa kuwa heat? watafutie mbwa wa kike muweke huma usiku mmoja wamttombe acha kuwanyima haki yaoo.. hii ndiy kipindi chaooooo hata huku kwetu wapo wapo busy
Nyie watu mmenichekesha san
Wapige maombi y nguvu mkuu...hiyo ni roho, ikitoka kwao inakuja kwako

Hapo unalindwa na mashoga mkuu

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Asanteh kw taarifa

watafutie mademu mkuu

watafutie mademu wako katika heat
 
Mkuu,,, Ukiwa na shemeji msiwache madirisha wazi,, huenda ikawa wanakupiga chabo hao mbwa,,, na kwakuwa Huna jike basi wanagegedana zamu kwa zamu,, Dawa yao ni kuleta jike,,, kwa muda halafu unalirudishwa kwao,,,
hahaha sawa Mkuu hiyo ya kuleta wagegede alafu niondoe itakua nafuu
 
Wapige maombi y nguvu mkuu...hiyo ni roho, ikitoka kwao inakuja kwako
[emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji37] [emoji38] [emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…