medicine.???? Kama kweli kipo,TCU should put an eye on it la sivyo tutapata madaktari vihio..!
Kwa mf. Mtu ana PHYS-C
, CHEM-B,
BIOS-C,
MATH-B,
ENGL-C,
HIST-B,
KISW-C,
GEO-C,
CIV-B
kwa A'level results
CHEM-E
BIOS-E
GEO-D
BAM-S
GS-F
JE Mtu kama huyu anasifa ya kusoma hiyo degree ya md or nursng kwa miaka mingapi? Tusaidie
!!!!!!!!!!!!!!!!???????????/
Mie nilisoma masomo ya art olevo na a level nimesoma HGK vipi hamna pre coarse kwa watu walisoma art?
Kwa hisani ya maadui wa watatu,ujinga+maradhi na umasikini
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Mmhhh acha kudanganya watu..bachelor course zoote zinaombewa tcu.siku hizi.na muda wa kuapply mpk mwakaniiii.....halafu we unasema unasoma bugando hiyo mbwaga ndo unafundishia tuisheni ama