Mbwana Ally Samatta katika Wikipedia

Sasa kuna mtu gani haijui wikipedia jamani? Hata wa darasa la pili ukimpatia simu ataingia, jf kazi kwelikweli hata thread ya wikipedia inaanzishwa humu? Duh
Hii aibu. Nadhani kuna watu hawaelewi jinsi entries zinavyoingia Wikipedia.
Na kwamba mtu yeyote anaweza ku edit information provided identity yake ijulikane.
 


Wikipedia mtu yeyote anaweza akaingia na kuandika...na ndiyo maana vyuo vikuu makini kama unaandika 'article' ya kisomi na ukafanya reference ya Wikipendia unaweza kupigwa chini...
 
Hahahahah darasa la pili mkuu???

Hahahaa Ndio mkuu wangu, enzi zetu darasa la pili ama la sa7 tulikuwa hatujui kitu chochote kinachoendelea ktk ulimwengu , leo hii mtoto wa la pili anatafuta anything from google.
 

Dada ee mambo? Hii inaitwa wiki ama 7pedia?
 
Hahahaha, kumbe mimi nikikuzidi ukilaz.a eeh, au wewe ndiye uliyenizidi?

No! Kati ya wanafunzi 7805 waliofukuzwa..Mimi nilikuwepo katika ile list ya 382 wenye sifa ya kufaulu 😀😀😀, wewe ndiye sijakuona kwenye list yangu
 
sugu yupo, diamond, dewji, prof jay, hasheem, wapo kibao tu wikipedia
 

Mkuu ahsante kwa uzi wako huu.

Napenda wakuu mnisaidie kupata habari Zaidi kuhusu huyu kijana ili niendeleze libeneke la kufanya updates kwenye Wikipedia.

Leo hii tayari nimefanya Updates na nimeeleza kwamba Mbwana Samatta anakuwa mtanzania wa kwanza kucheza kwenye ligi ya Europa.

Napenda kupata habari za alipokuwa Yanga Africans alicheza kipindi gani, amechezea timu ya taifa mara ngapi?

Updates zingine ntaendelea kuziweka kila nipatapo nafasi.

Angalia updates za leo kuhusu kijana Mbwana Samatta- Mbwana Samatta - Wikipedia, the free encyclopedia

Ahsanteni.
 
He is our national icon, we love you Mbwana.
 
Mkuu mbona samatta hajawahi kuchezea yanga Africans
 
Wee, ebu acha ulimbukeni! Wikipedia hata wewe unaweza weka historia yako, ni open source!
 
Bado kidogo atakuwa kwenye jarida la forbes moja ya wachezaji wenye mafanikio huku kuna wenzio bado wanachanja Chale kuongeza viwango vyao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…