Mbwana Ally Samatta katika Wikipedia

Mkuu mbona samatta hajawahi kuchezea yanga Africans

Alaaaah kumbe!

Nimetaja tu naomba unisaidie kupata list ya timu alizochezea akiwa Tanzania na kama amecheza chandimu amechezea wapi hiyo grassroots football.

Ahsante.
 
Duh...alianza kuchezea Simba akiwa na miaka 17 na Lyon 15...ngumu kumeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…