Mbwana Director & Mbwana mkurugenzi wa uhamiaji

Mbwana Director & Mbwana mkurugenzi wa uhamiaji

laurent Msembeyu

Senior Member
Joined
Oct 5, 2015
Posts
121
Reaction score
101
Wana bodi naomba ufafanuzi nimesahau kidogo, nini tofauti kati ya Mbwana director
yule aliyekuwa mchezaji wa mpira timu ya jeshi na Mbwana aliyekuwa ni mkurugenzi wa uhamiaji, halafu mojawapo kati ya hawa alijiuwa, alijiuwa kwa sababu gani? Nataka kuweka kumbukumbu zangu sawasawa

Aksanteni
 
Back
Top Bottom