Wana bodi naomba ufafanuzi nimesahau kidogo, nini tofauti kati ya Mbwana director
yule aliyekuwa mchezaji wa mpira timu ya jeshi na Mbwana aliyekuwa ni mkurugenzi wa uhamiaji, halafu mojawapo kati ya hawa alijiuwa, alijiuwa kwa sababu gani? Nataka kuweka kumbukumbu zangu sawasawa
Aksanteni