Mbwana director na Mbwana mtotot(junior) wote walikuwa wachezaji mpira timu ya jeshi

Mbwana director na Mbwana mtotot(junior) wote walikuwa wachezaji mpira timu ya jeshi

laurent Msembeyu

Senior Member
Joined
Oct 5, 2015
Posts
121
Reaction score
101
Wana bodi naomba ufafanuzi nimesahau kidogo, nini tofauti kati ya Mbwana director
yule aliyekuwa mchezaji wa mpira timu ya jeshi na Mbwana mtoto aliyekuwa ni mkurugenzi wa uhamiaji, halafu mojawapo kati ya hawa alijiuwa, alijiuwa kwa sababu gani? Nataka kuweka kumbukumbu zangu sawasawa

Aksanteni
 
Back
Top Bottom