mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 630
- 2,151
Ila mpaka sasa Hana tofauti na zuchu WA wcb..ngoja tusubiriAngalia hapa.
Alienda Mazembe akakuta kuna mtu ana namba, akampindua na kuimiliki namba.
Akaenda Genk akakuta kuna mtu ana namba yake tayari, akampindua akaimiliki namba.
Kwanini huoni kwamba hata Aston Villa ataweza? Ighalo na Samata kama watabaki ligi kuu wote wawili nina uhakika Samata atarudia mtindo wake.
Atapindua na kumiliki namba.
Mkuu Ronaldo Wakati anafika man u alikua kinda mchezaji ambae bado alikua hajafikia kilele cha ubora wake so alihitaji muongozo mzuri ili afikie kilele cha ubora wake ,Kama unafuatilia mpira utaelewa ninachomaanisha, msimu wa kwanza Ronaldo kwenda Man U haukua mzuri sana, baada ya hapo amekua moto.
ni mchezaji hatari majungu FCCha kushangaza huyo Yikpe anacheza Utopolo, Samatta Aston Villa.
Wewe unachezea timu gani vile hapa Bongo?