Mbwana Samatta aanza kusugua benchi KRC Genk

Hapo sasa...................
 

“Waliikalibisha”

Bure kabisa...Hujui matumizi ya R na L!

What a whimp!
 
Hii timu naiheshimu maana kwenye uefa ulikuwa unaibetia magoli then unaweka kambi kwa wakala..Natamani walau zingekuwepo mbili za aina hii.
 
Hivi kwanini tunaombeana mabaya hivi??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hapa huwa tuna shangaana hivi Fulani imekuwaje ameachwa... Fulani amepataje namba....

Samatta huyu aliye enda ulaya sio sawa na yule aliye kuwa winga teleza pale simba yule alikuwa kama singano, kama ngasa wawakati huo... Ana mbio ana chenga... Kapelekwa kati basi amekuwa mvivu amekuwa wa kusubiria vya kutenga...

Nazani ndio maana hata timu ya taifa watanzania wengi nao wamemlalamikia, hivyo sio uchawi mchawi ni yeye mwenyewe

Hata hasheem alifika level kama yake sasa alivyo polomoka yeye mwenyewe ana fahamu...

Ukilegeza tu basi umekwisha... Afanyekazi ajitume...

Wakina Paulsens walio wahi kuwa makocha wa timu yetu ya taifa walimuacha sababu yakuwa ni mzigo katika timu...

Mara mia pale Genk angekuwepo Msuva sio huyu Samatta wa sasa...
 
Title yako kama umefurahi vile...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…