bhachoneghe
Member
- Feb 9, 2017
- 54
- 36
Hujajua kwa nn hawakuandika utaifa wake juz kwene profile yake? Wamegundua wtz kwene mpira ni gunduUngeshamsikia anatoka na mbongo mvii [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
bashite kwanzaSiku Hizi mpira bongo haupewi priority ni kama hauzalish tuko busy na Team kiba na diamond kwanza
KweliiiAfike mbali Samagoal ila sasa team ya taifa inamuangushwa na kusababisha aonekane bado kisoka
HovyoTunapofurahia maendeleo mazuri ya Samata tusisahau kuna Daudu Bashite anadaiwa vyeti hapa!
Jina linakuchanganyaNawapongeza Samatta na Aboubakar na kuwashauri waendelee kushirikiana na wenzeo katika kufikia Malengo ya Maisha yao. Ila Aboubakari sijui ni kwa nini nimempongeza!
Yaani samatta angekuwa mtanzania... Ungesikia mara kamdate mbongo movie, mara video queen.. Hahaha full kuonekana kwenye magazeti ya umbea
kwani samatta ni mchina??Yaani samatta angekuwa mtanzania... Ungesikia mara kamdate mbongo movie, mara video queen.. Hahaha full kuonekana kwenye magazeti ya umbea
Kolomijee style [emoji35] [emoji35]Yaani samatta angekuwa mtanzania... Ungesikia mara kamdate mbongo movie, mara video queen.. Hahaha full kuonekana kwenye magazeti ya umbea
haaaaaaaaaaa akina lulu na wema hawajamuona au sio type yakeYaani samatta angekuwa mtanzania... Ungesikia mara kamdate mbongo movie, mara video queen.. Hahaha full kuonekana kwenye magazeti ya umbea
haaaaa jamaa anajua na hajisikiiTimu ya taifa hovyo. Vile vilabu pendwa hovyo. Kile Chama nacho mmh. Bora kumshabikia anaejitambua kuliko Bashite. MAS. Bravo Samatta.