Mbwana Samatta aifungia tena timu yake

Leo kaanza kumbe kwenye first 11. Mar zote alikua akiingia lala salama
 
Samata Mungu akubariki Dogo.
Huo ndio mwanzo,waliobakia tufate nyayo zakeeee.
Ukiwa na Managers wazuri na kukubali kubadilika tabia ndio njia kuu ya mafanikio kwa wachezaji wetu.Kubweteka kwingiii.Mtu akifika Simba na Yanga anaona amefanikiwa
 
dogo kamua mawakala waje wabebe wengine huku mkifika hata saba naamini Timu ya Taifa itakua Nzuri tuu..una kiwango cha kucheza ligi yoyote ulaya..
 
Huyu dogo ni noma hatakaaa hapo genk muda lazima ulaya wamtake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…