COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,603
- 3,658
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, dogo anajua mpira. Leo kafunga goli la pili dk ya 47 na kuiwezesha timu yake kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Lokomotiv zagreb. Mechi ya kwanza Krc Genk ya Samatta walishinda bao 1-0.
Hivyo wamefuzu kwa jumla ya mabao 3-2.
Tunasubiri kuona watapangiwa kundi gani huko Europa league.
Hongera mtanzania Mbwana Samatta.
==================
Ufafanuzi
Hiyo ilikuwa ni mechi ya kwanza kati ya KRC Genk na Locomotiva Zagreb
Mechi ya marudiano itachezwa alhamisi ijayo katika uwanja wa Genk
Timu itakayoshinda katika hatua hiyo itaingia katika hatua ya makundi ya Europa League