mkuu kama sikosei hii c ndo raundi ya kwanza bado kuna marudio game za kwanza zilichezwa lini?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, dogo anajua mpira. Leo kafunga goli la pili dk ya 47 na kuiwezesha timu yake kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Lokomotiv zagreb. Mechi ya kwanza Krc Genk ya Samatta walishinda bao 1-0.
Hivyo wamefuzu kwa jumla ya mabao 3-2.
Tunasubiri kuona watapangiwa kundi gani huko Europa league.
Hongera mtanzania Mbwana Samatta.
watarudiana tare 25/8 genk akiwa nyumban iyo ni raund ya kwanza mkuu angalia vizurimkuu kama sikosei hii c ndo raundi ya kwanza bado kuna marudio game za kwanza zilichezwa lini?