mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Namuona anajitambua. Atafika zaidi ya Genk.ni mchezaji mzuri ila bado hajaonesha potential kubwa ya kumfanya aende zaid ya Genk, he must do more tena kwa position ya mshambiliaji akaze sanaa
ni kweli kwa maana ya Discpline anayo sana, aki add na bidii atafika tu.Namuona anajitambua. Atafika zaidi ya Genk.
samatta can be more than what he is. this is not the last year samatta. Frankly speaking i wish him best of luckiesni mchezaji mzuri ila bado hajaonesha potential kubwa ya kumfanya aende zaid ya Genk, he must do more tena kwa position ya mshambiliaji akaze sanaa
magoli ya ufundi yanasababishwa na wapikaji pia. ukiwa na wapikaji kama kina iniesta magoli y auvundi kwako ni kitu cha kawaidaSafi sana.....
Hafungi kwa ufundi ila anajituma sn.....aongeze bidii zaidi
not only he can be more ,he shoukd be more, apige kazi na umri ndio unaenda si unajua kwa mchezaji 25-26,ndio miaka ya kuwa juu kwenye soka.samatta can be more than what he is. this is not the last year samatta. Frankly speaking i wish him best of luckies
Ana style flan za wale tunawaita GOAL GETTER, wanachojua ni kufunga na sio mbwembwe!Safi sana.....
Hafungi kwa ufundi ila anajituma sn.....aongeze bidii zaidi
Kivipi?ni mchezaji mzuri ila bado hajaonesha potential kubwa ya kumfanya aende zaid ya Genk, he must do more tena kwa position ya mshambiliaji akaze sanaa
Mkuu yuko kweny list kati ya washambuliaj wanaotakiwa na Fenerbache ili kumrithi van persie…!!!ni mchezaji mzuri ila bado hajaonesha potential kubwa ya kumfanya aende zaid ya Genk, he must do more tena kwa position ya mshambiliaji akaze sanaa
Kiukweli Belgium ni mbali sana kutoka Africa na hasa Tanganyika.Kwan ajafika mbali tu!?
Alipita pale chama kubwa Msimbazi.
Pengine angepitia mitaa ile ya Churani Fc, muda huu angekuwa Mwadui Fc tena anasugua benchi.
(utani tu jamani)
Hahahahah, mpumbavu mmoja weweChama kubwa limepigwa "Katerero" na kagera Sugar umekuja TFF kuomba tissue!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahah, mpumbavu mmoja wewe
Eti katerero ilo neno sijalisikia mda sana mkuuChama kubwa limepigwa "Katerero" na kagera Sugar umekuja TFF kuomba tissue!
Nonda shabani Papii alipita wapi vileee...samatta ana ugonjwa wa kitanzania..mechi ya kuonyesha dunia anacheza chini ya kiwango...ila ana kiwango cha kucheza crystal palace. West ham.nkAlipita pale chama kubwa Msimbazi.
Pengine angepitia mitaa ile ya Churani Fc, muda huu angekuwa Mwadui Fc tena anasugua benchi.
(utani tu jamani)