Mbwana Samatta asema Simba ya sasa ni bora zaidi ya Mazembe

Na mazembe ya sasa tofauti na ya zamani, wakikaa vibaya wanakula 4mazembe Simba 3+ mazembe 0

wakati ukuta.
 
That’s what we call consolation. T P MAZEMBE bado ni bora kuliko Simba. Tujiandae kisaikolojia wana Msimbazi leo.
 
Mazembe iliyocheza na Yanga ilikua bora alafu ikashinda moja
 
Samatta anaongea upuuzi..Mazembe yao iliwahi kumfunga mtu goli 8 group stage????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…