Mbwana Samatta atua Lubumbashi kujiunga na Mazembe

Mbwana Samatta atua Lubumbashi kujiunga na Mazembe

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
Kijana maChachari kwenye ushambuliaji Mbwana Samatta awasili Lubumbashi na kujiunga na TP Mazembe ambao leo wamefuzu CAF CL last eight kwa kuichapa WDAD ya Morocco 2-0 (2-1 on aggregate). Haya kijana kazi kwako kung'ara CL uonekane ulaya...
 
Hongera sana kijana Samatta kaza buti uende mbele, maisha ya mpira yanalipa siku hizi kama utafuata kanuni na masharti ya mpira
 
Back
Top Bottom