Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Joined Jan 10, 2009 Posts 5,471 Reaction score 752 May 8, 2011 #1 Kijana maChachari kwenye ushambuliaji Mbwana Samatta awasili Lubumbashi na kujiunga na TP Mazembe ambao leo wamefuzu CAF CL last eight kwa kuichapa WDAD ya Morocco 2-0 (2-1 on aggregate). Haya kijana kazi kwako kung'ara CL uonekane ulaya...
Kijana maChachari kwenye ushambuliaji Mbwana Samatta awasili Lubumbashi na kujiunga na TP Mazembe ambao leo wamefuzu CAF CL last eight kwa kuichapa WDAD ya Morocco 2-0 (2-1 on aggregate). Haya kijana kazi kwako kung'ara CL uonekane ulaya...
Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Joined Jan 10, 2009 Posts 5,471 Reaction score 752 May 8, 2011 Thread starter #2 KWa habari Zaidi na picha tembelea web ya MazembE.. tpmazembe.com::Arrive Samata Lubumbashi
Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Joined Jan 10, 2009 Posts 5,471 Reaction score 752 May 9, 2011 Thread starter #3 Ukapige soka kijana acha uzembe!
GAZETI JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 5,286 Reaction score 6,736 May 11, 2011 #4 El Toro said: KWa habari Zaidi na picha tembelea web ya MazembE.. tpmazembe.com::Arrive Samata Lubumbashi Click to expand... Samahani mkuu nahitaji Website ya Yanga na ile ya Simba niwekee hapa kama unaifahamu.
El Toro said: KWa habari Zaidi na picha tembelea web ya MazembE.. tpmazembe.com::Arrive Samata Lubumbashi Click to expand... Samahani mkuu nahitaji Website ya Yanga na ile ya Simba niwekee hapa kama unaifahamu.
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 May 12, 2011 #5 Wana magazeti hawana website
Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Joined Jan 10, 2009 Posts 5,471 Reaction score 752 May 12, 2011 Thread starter #6 Patrick Ochan nae atua Mambe kwa daU la dola 100K au TZS 150m
NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member Joined Aug 11, 2010 Posts 1,180 Reaction score 595 May 12, 2011 #7 Skills4Ever said: Wana magazeti hawana website Click to expand... Website zenyewe ni front pages za magazeti na ndo maana hazirespond kila unapotaka kuendelea ku search!
Skills4Ever said: Wana magazeti hawana website Click to expand... Website zenyewe ni front pages za magazeti na ndo maana hazirespond kila unapotaka kuendelea ku search!
K kwamagombe Senior Member Joined Aug 25, 2009 Posts 154 Reaction score 42 May 13, 2011 #8 Hongera sana kijana Samatta kaza buti uende mbele, maisha ya mpira yanalipa siku hizi kama utafuata kanuni na masharti ya mpira
Hongera sana kijana Samatta kaza buti uende mbele, maisha ya mpira yanalipa siku hizi kama utafuata kanuni na masharti ya mpira