Analipwa kiasi gani kwani.????
Hilo nikweli ila ukicheki kuanzia nafasi ya 15 mpaka 20 awajakosana sana Villa wakaze maana wakishuka kurudi tena watakaa kuliko walivyokaa apo awali!
Bna ukisema hvyo vpi kuhusu akina messi Ronaldo neymar nao pia ni Muslim au unazungumzia kwa upande wa mbagalaWaislam tuna vipaji sana Allah mkubwa