Mbwana Samatta hakwenda timu sahihi

Mbwana Samatta hakwenda timu sahihi

fisadimpya

Senior Member
Joined
Oct 27, 2011
Posts
191
Reaction score
103
Wabongo tuache kuikuza Genk na hiyo ligi ya kijinga ya Ubelgij mchezaji bora Afrika hakustahili kwenda kwenye huo uchafu.Ukiingia blog za sport za kibongo siku tu akifunga ndo timu inasikika
 
Ni kwel hakwenda timu sahihi lkn labda kwa sababu ya ugen Wa mazingira,kwa maoni yangu alipaswa aende walau france
 
Europa ligi n sabab ya nchi yao lkn ligi yao c imara na wala hailingan ubora na lig zingine ulaya,n bora angeenda hata nice ya France kuliko genk
 
Msiseme hajaenda timu sahihi ila Kiwango cha Samatta kinaweza muweka France?? Afanye vzur Belgium kisha ndipo France sasa kama Genk panamchemsha Huko France atapaweza ila la kujipongeza ni kaonyesha njia atakapokuja mwingine atafika huko France
 
Back
Top Bottom