Ulitaka acheze mpaka ANY.E UWANJANI NDO UJUE KUWA ALIJITUMA.Habar za leo jukwaa
Naomba kutoa maoni yangu juu ya staili ya uchezaji wa ndugu yetu SAMMATA
Jinsi nilivyomuona jamaa, kama vile anacheza kifaza zaidi, hii si mara ya kwanza kumuona akicheza vile ,maana hata timu ya taifa yaan TAIFA STARS, jamaa amekuwa akilalamikiwa sana kwamba hajitumi.
Jinsi nilivyomuona jana, pia jamaa hakujituma mpaka kufikia kupata player ratings ya 5.8 sawa na kipa wa timu pinzani wakati wachezaji wenzake wakipata zaidi ya 7.8
Napata kujiuliza maswali kadhaa kama Samatta amefikia level ya wachezaji mastaa kama akina Ronaldo na wengineo mpaka kufikia hatua ya kucheza kwa kusubiri aletewe mpira miguuni ndo afunge?
Hii ni EPL, wachezaji wanatakiwa wajitume ndipo wapate namba. Anyway, jana ndo ilikuwa mechi yake ya kwanza, lakn hata hivyo alitakiwa kuonyesha timu haikukosea kumchukua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Billie, MKUU mbona hayo hapa siyo mahala sahihi kwa lugha za vidoti doti
πππSamata arelax, asome mchezo unavyokwenda na wenzake wamsome, taratibu wataelewana na kuzoeana ndani ya uwanja na mambo yatabadilika kadiri siku zinavyokwenda, people expect too much from him that he can't offer now.
#GoodluckSamatta.
Kikubwa ni kwamba ameanza kuingia moja kwa moja kwenye kikosi .Habar za leo jukwaa