Kama ameshaandika majina yake hizo si kelele tu pia..?
Yeye kaamua kutokupiga kelele ila wewe sasa chawa!..🤣
Tena kelele za mtoto anayelilia wembe😂😂😂Yeye kaamua kutokupiga kelele ila wewe sasa chawa!..🤣
Mhuu😏 Umejuaje ni yeye? Au hakuna SAMATTA wengine
Huyu sasa ndio Role Model. Namkubali sana Samatta.
Huyo fundi aliyemjengea ana mkono mzuri. Yani kitu kimenyooka.
🤣🤣🤣
Jamani mie najitolea kumuoa wema ata kama hazai mie nampe da hivyo hivyo alivyo
Safi sana sasa anenge samatta training complex viwanja kama 6 hivi vya mpira na academy yake
MaybeKama ameshaandika majina yake hizo si kelele tu pia..?
HeheheYeye kaamua kutokupiga kelele ila wewe sasa chawa!..🤣
Jamani mie najitolea kumuoa wema ata kama hazai mie nampe da hivyo hivyo alivyo