Mbwana Samatta na App ya SamaPay - Haya ni mapungufu niliyoyaona

Tatizo unakuja Samatta mwenyewe hakuwa na interest, kaambiwa tu.

So hajui hata kitu kinaanzia watu na kinaishia wapi.

Sema umefanya honest review kiasi kwamba ulutakiwa ulipwe.
 
Alichotakiwa kukifanya samata ni hiki hapa

1) Angetafuta office space pale London

2) Angetafuta engineers wa maana wa pale london maana London ni best kwa fintech na zipo startup nyingi sana pale, kwa hadhi yake Angetafuta watu Watano ambao ni programmers wazuri kwa ajili kuifanya App ya yake iwe bora

3) Bongo angetafuta marketing team kwa ajili ya kufanya B2B yaani businesses kwa ajili ya ku integrate sama pays na biashara zao, lakini pia B2C kwa ajili ya watu kutumia app hiyo kwenye malipo

4) halafu sasa ange rise funds sasa ambapo ni rahisi kwake since ni well known na app ingefanya vizuri sokoni


Anyways hainihusu
 

Mawazo mazuri [emoji817][emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…