Mbwana Samatta nae kumbe ana kiingereza kama cha Mrisho Ngassa

Wewe una kiingereza kipi?Maana wote ni lugha ngeni usipokosea matamshi utakosea maandishi maana siyo lugha yetu....Haya wewe una kingereza kama cha nani?Beckham?...Acheni kutukuza Upuuzi usiyo na Maana
 
Jamaa punguza ukali wa maneno, hivi kwa jinsi Watz wanavyopenda / kutamani kuongea kimombo japo wengi hawakiwezi, unadhan huyo aliefika chuo kikuu alafu akawa hajui Kiingereza amefanya makusudi mkuu?

Mkuu huwezi kusoma kwa kutumia lugha ya Kiingereza kuanzia darasa la tatu mpaka Chuo Kikuu na bado usiijue. Ukiona hivyo ujue tu kuwa wewe ni Bashite a.k.a fa fa fa fa fa faaaaaa.

Ukiona hivyo ujue kuwa IQ yako ni ndogo sana, yani uwezo wako wa kupambanua mambo na kufikili kwa mantiki ni mdogo kuliko udogo unaokubalika kwa maana ya ujinga wa kawaida.
 
Mie ninamaanisha kukijua kwa ufasaha lakini kama kukijua katika mazingira ya kawaida ya kuwasiliana wengi wanakijua yaani kwa level hii (general professional proficiency)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…