Mbwana Samatta: Nina wazo kwanini Dar isibadilishwe jina ikaitwa Kolomije

Kijana acheze soka, apotezee kabisa story za laana za bongo. Asijiingize ktk chuki na kundi lolote.
As long as nae ni Mtanzania ruksa kutoa maoni. Mbona kuna wauza duka mtaani wamechagua upande na husemi kitu? Au ni nani mwenye haki ya kuongelea kinachoendelea hapa nchini? Kama atachukiwa basi sababu itakuwa ni wao wenyewe wameamua na sio mtazamo wake. Au unafikiri Diamond kuchagua upande wa Ccm hajawaumiza wanaUKAWA?
 
Msilete mambo yenu ya uteam nani wenu, Ana haki ya kuandika kama mtanzania yeyote yule,na pia mumpende team fulani mumchukie hamtakuwa nyie mnaotia kamba pale Genk.....acheni kuwatisha watu wasitoe mawazo yao kifua kiwe huru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…