Kwahiyo sio goli? Lilipofungwa hawakushangilia? halijawekwa kwenye record kwa kukosa mvuto? goli la mvuto kwako hua linakuaje?goli halina mvuto
Zaidi ya matokeo, football is entertainment....lazima mfungaji awakune watazamaji kwa kujitahidi kufunga magoli yenye mvuto kadri awezavyo...tunataka magoli bora na si bora magoli...ndio maana mechi na Uganda alikosa goli la wazi kwa sababu ya kukariri kufunga "kiboya"Kwahiyo sio goli? Lilipofungwa hawakushangilia? halijawekwa kwenye record kwa kukosa mvuto? goli la mvuto kwako hua linakuaje?
Hoja yako ni mfu.
Kwa hiyo mchezaji akijikuta anataka kufunga goli ambalo wewe unaona halina mvuto ni bora aupige mpira nje ili isiwe kafunga goli lisilo na mvuto?Zaidi ya matokeo, football is entertainment....lazima mfungaji awakune watazamaji kwa kujitahidi kufunga magoli yenye mvuto kadri awezavyo...tunataka magoli bora na si bora magoli...ndio maana mechi na Uganda alikosa goli la wazi kwa sababu ya kukariri kufunga "kiboya"
Mwambie mkeo akukuneZaidi ya matokeo, football is entertainment....lazima mfungaji awakune watazamaji kwa kujitahidi kufunga magoli yenye mvuto kadri awezavyo...tunataka magoli bora na si bora magoli...ndio maana mechi na Uganda alikosa goli la wazi kwa sababu ya kukariri kufunga "kiboya"
We mwenye kiwango kikubwa tuonyeshe magoli yako yenye mvuto.........Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa Mbwana Samatta Tangu alivyotua katika Club ya KRC Genk ya Belgium akitokea TP Mazembe ya DRC.Kiukweli jamaa kiwango chake ni cha kawaida sana na anabebwa sana na bahati kubwa aliyonayo kwani performance yake haitishi sana.Ukiangalia magoli anayofunga asilimia kubwa ni ya kawaida sana yasiyo na ufundi (hufunga zaidi kwa kichwa na asilimia kidogo kwa mguu na setpieces).Kwa namna soka la Ulaya lilivyokuwa na ushindani hasa kwa mabeki wakatili (kama akina Pepe) sioni Samatta akifanya lolote mbele yao, kwani mbinu zake mguuni hazitishi mabeki na ni za kawaida sana.Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.....Jamaa some how Anajitahidi na anaendelea kujitahidi kwani ameonesha ujasiri na amekuwa Idol kwa Vijana wengi wenye ndoto za mafanikio kwenye soka kama ya Samatta.Kama ataweza kuuona uzi huu au aambiwe na mtu wake wa karibu aliyeko humu basi nimwombe ndugu yangu Samatta, aongeze zaidi juhudi na ajifunze mbinu nyingi za kufunga kwani yeye kama forward kazi yake uwanjani ni magoli tu na si vinginevyo. Bila kisahau Kujisahau na Kuvimba kichwa akuepuke sana kwani magazeti ya bongo yanapamba wachezaji hadi wanakuwa under pressure na mwishowe huharibu carrier yao.
we sio buregoli halina mvuto
angalia game ya juzi na uganda goli alilotaka kumfunga kipa wa uganda ndo utajua dogo ana utulivu na kujiamini kwa kias gan mitsubishi wewe.. na by the way umemfatilia huyu dogo wakati anapigana vita ya kiatu cha dhahabu cha champions league ya afrika enzi yupo mazembe?Ukweli unabaki palepale....jamaa anabebwa na bahati ila mguuni wa kawaida sana!
Ndio mkuu, hili swala linatuchoma moyoni...kwaninii samatha kwaninii, inaumaa
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa Mbwana Samatta Tangu alivyotua katika Club ya KRC Genk ya Belgium akitokea TP Mazembe ya DRC.Kiukweli jamaa kiwango chake ni cha kawaida sana na anabebwa sana na bahati kubwa aliyonayo kwani performance yake haitishi sana.Ukiangalia magoli anayofunga asilimia kubwa ni ya kawaida sana yasiyo na ufundi (hufunga zaidi kwa kichwa na asilimia kidogo kwa mguu na setpieces).Kwa namna soka la Ulaya lilivyokuwa na ushindani hasa kwa mabeki wakatili (kama akina Pepe) sioni Samatta akifanya lolote mbele yao, kwani mbinu zake mguuni hazitishi mabeki na ni za kawaida sana.Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.....Jamaa some how Anajitahidi na anaendelea kujitahidi kwani ameonesha ujasiri na amekuwa Idol kwa Vijana wengi wenye ndoto za mafanikio kwenye soka kama ya Samatta.Kama ataweza kuuona uzi huu au aambiwe na mtu wake wa karibu aliyeko humu basi nimwombe ndugu yangu Samatta, aongeze zaidi juhudi na ajifunze mbinu nyingi za kufunga kwani yeye kama forward kazi yake uwanjani ni magoli tu na si vinginevyo. Bila kisahau Kujisahau na Kuvimba kichwa akuepuke sana kwani magazeti ya bongo yanapamba wachezaji hadi wanakuwa under pressure na mwishowe huharibu carrier yao.