Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

Huyo anaekataa samatta sio mzuri, anataka awe mzuri kama nani?... UTAKONDA BURE
utakuwa shabik wa yanga wewe... jamaa anacheza ulaya , anang'aa, anawapa genk matokeo, uefa na ligi... wewe unataka awasaidie Man u wakati yeye yuko genk?
Kuna siku atakufunga mdomo atafanya unachotaka huko kwa unaowaita wazuri
 
jana katupi
 
Yanga hatujawahi kuwa na shabiki Mbumbumbu.
 
hayo unayosema ya UFUNDI na KAWAIDA dont matters to us cha muhimu kwetu ni je? ANAFUNGA MAGOLI?!? mengine hayo yajadili mwenyewe.
 
MAJUZI KAMFUNGA KARIUS JANA KAMFUNGA GUILEMO OCHOA WA MEXICO KEEPER BORA WA WORLD CUP 2014
 
Huu sio wakati wa kumzungumza Samatta kwa mtazamo huo. Kila jambo lina wakati wake.
 
Hao walioshika Bendera yetu wote ngozi nyeupe! Wanaonyesha wanavomkubali! Hamna MZARAMO mwenzio hapo! Wewe huku Baki na roho yako ya jiwe!
 
Laiti kama uyo Ulo mweka Avatar angeona ulicho andika apo Dah..............!!! angeku......

DON'T BELIEVE IN LUCKY BELIEVE IN HUSTLES
 
Laiti kama uyo Ulo mweka Avatar angeona ulicho andika apo Dah..............!!! angeku......

DON'T BELIEVE IN LUCKY BELIEVE IN HUSTLES
kama unaona mimi sina haki ya kumkosoa basi na wewe huna haki ya kuyakosoa mawazo yangu..Note That you idiot!!!
 
Wazungu hawamini kitu kinaitwa bahati,haya mambo ya bahati yako Afrika na sehemu nyengine za dunia lakini sio wazungu,...Kama wazungu wamemuona na kumchukua katika timu zao basi wameona uwezo wake...
Kama anafikiri bahati inafunga basi aende na yeye akatafute bahati yake imebebe awe anafunga kama Samata.Mtoto wa watu anapigana na umaskini na mawazo Finyu.Naanza kuelewa kwanini wabongo wengi hawarudi huku home.Vitu kama hivi na mawazo kama haya.Hawa ndio warudisha maendeleo duniani.Hawana jema...hata ufanye nini hawana jema.Ndio tafsiri ya msafara wa mamba hapa duniani lazima ukute mijusi..kenge ..kenge ndio kama hao sasa.Samata baba endelea kubahatisha huko Genk..baadae na bahati zako tunakuombea tukuone uingereza.Tunaamini unajitihada kubwa sana kupambana na hali za Mawazo finyu za huku kwetu.

Dogo huyo hapo..at least hata na yeye ana kabahati ka ajira bwana huko ubelegiji.Mimi na wewe tuendelee kuandika nyuzi nyuma ya Keyboard huku tukisubiri bahati ya kumbetia Samata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…