Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

Ee bwana hii habari nimeipenda, Samatta kwa sasa yuko vizuri , tumuombee Mungu afanikishe, je kura za mashabiki huwa zina nguvu ya maamuzi?
Yaah!! Mashabiki wana nguvu sana katika maamuzi muhimu ya club.....kama mashabiki wanademand huduma ya Samatta basi uongozi hautasita kumtazama kwa jicho la tatu.
 
Ulitaka aokoe? Nilichoongelea hapa ni creativity wala sio scoring Capacity.
Hii kauli yako inachekesha, kazi ya striker ni nini? Ulitaka akiwa kwenye nafasi ya kufunga akipewa pasi aanze kuwalamba chenga huku akirudi golini kwakwe? Alafu ageuke aanze kuwalamba chenga tena ndio afunge? Tatizo la shabiki wa netball mkivamia football ndio hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusifike mbali mkuu...nisamehe!!
 
Everybody is entitled to his/her opinion. Huyo huo ndio mtizamo wake kuhusu Samatta sasa kosa lake nini?

Watanzania wanajifanya wazalendo sana na uzalendo wenyewe ni wa kinafiki tu ndio maana mpira wetu unachezewa zaidi kwenye "Media".
 
Yaani kila anayetoa Football analysis mnamuita Kashasha!!!!
Hivi wewe tukikutupia tu uwanjani unaweza kusongeza hata hatua moja. Samatta wanaomjua ndio wamemsajili na kumlipa mipesa ambayo akikupa za week moja wewe na ukoo wako mnakula mwaka mzima. Saga tu lakini mwenzio yuko mbali
 
Everybody is entitled to his/her opinion. Huyo huo ndio mtizamo wake kuhusu Samatta sasa kosa lake nini?

Watanzania wanajifanya wazalendo sana na uzalendo wenyewe ni wa kinafiki tu ndio maana mpira wetu unachezewa zaidi kwenye "Media".
Poa tumekusikia maoni yako tutayafanyia kazi. Turudi kwenye mada husika.
 
Everybody is entitled to his/her opinion. Huyo huo ndio mtizamo wake kuhusu Samatta sasa kosa lake nini?

Watanzania wanajifanya wazalendo sana na uzalendo wenyewe ni wa kinafiki tu ndio maana mpira wetu unachezewa zaidi kwenye "Media".
Watu tunatofautiana mitazamo mkuu....labda tumezidisha uzalendo hadi kuusema uhalisia hatuwezi.
 
Hivi wewe tukikutupia tu uwanjani unaweza kusongeza hata hatua moja. Samatta wanaomjua ndio wamemsajili na kumlipa mipesa ambayo akikupa za week moja wewe na ukoo wako mnakula mwaka mzima. Saga tu lakini mwenzio yuko mbali
Upo Off topic...pole sana!
 
Everybody is entitled to his/her opinion. Huyo huo ndio mtizamo wake kuhusu Samatta sasa kosa lake nini?

Watanzania wanajifanya wazalendo sana na uzalendo wenyewe ni wa kinafiki tu ndio maana mpira wetu unachezewa zaidi kwenye "Media".
Je,mtazamo wake upo sahihi?
 
Chuki mbele ya dhamira, sura sio roho usingeweza jitizama ktk kioo au mbele ya hadhira. Club zenye uwezo zinamuelewa wewe humuelewi! Walau tumeuona ubinadamu ndani yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila anapoenda anabahatisha tu? Benzema je? Samata anajua nenda uwanjani uone mambo yake sio unachungulia kwenye vi'clips. Ana confidence, ana dribble na anapiga bao na ndicho kilichompeleka huko. National team pia anapiga bao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…